
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzbar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa Shada la mauwa na Chipukizi Ashura Salum
Sheha,katika makaribisho
wakati alipoanza ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika
Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa
wa Kaskazini Unguja leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono Viongozi mbali mbali na wanachama lipowasili Ofisi
ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa katika
ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi
katika Mkoa wa Kasakazini leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzbar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi maskani ya
Dk.Salmin Amour Juma,huko Moga Vibanda kumi na mbili, akiwa katika
ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini Unguja
leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzbar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi maskani ya
Dk.Salmin Amour Juma,huko Moga Vibanda kumi na mbili, akiwa katika
ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini Unguja
leo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzbar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai,katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa
katika ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini
leo

Katibu Mwenezi wa CCM Jimbo la Matemwe
Mossi Mati Nadhari,akisoma
risala wakaati wa uwekaji wa jiwe la Msingi uliowekkwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika
Mkoa wa Kasakazini Unguja
leo.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisikiliza
risala ya wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,Kusini Makunduchi, baada ya kuweka
jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya
ya Kusini juzi

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akipata
maelezo kutoka Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi pia Waziri wa Kazi uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi na Ushirika Maalim Haroun Ali Suleiman,alipotembelea Ujenzi wa
Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Wilaya Kusini ya CCM juzi,katika ziara ya
Kuimarisha Chama

Wanaushirika wa UWT Daima
Tupendane,wakimasikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupu pichani)
alipozungumza nao baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika
huo,alipofanya ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini
juzi. Picha na
Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar


Post a Comment