Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU MBILI LA SAYANSI YA TIBA LA (MUHAS) LEO DAR

 

1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya madokta wa Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili, wakati alipowasili Ukumbi wa Kunduchi Beach Hoteli leo Mei 2, 2013 kwa ajili kufungua Kongamanao la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS). Picha na OMR2Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia, kwenye Ufunguzi wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS) leo. Picha na OMR3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili,(MUHAS) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo leo Mei 2, 2013 katika Ukumbi wa Kunduchi Beach Hotel, lililoandaliwa na Chuo hicho. Picha na OMR
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top