Loading...
Home »
Unlabelled »
MTUHUMIWA ANAYEWALEWESHA WANAWAKE NA KUWAIBIA ANASWA
Na
Issa Mnally
JESHI la Polisi Kituo
cha Pangani, Ilala Dar es Salaam limemnasa kijana mmoja aliyejulikana kwa jina
moja la Abdallah kwa tuhuma za kuwawekea wanawake madawa ya kulevya katika
vinywaji kisha kuwaibia, Amani linakujuza.
on Thursday, May 2, 2013
Post a Comment