Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AHUDHURIA MSIBA WA TANDAU


IMG_0393
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiweka saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri wa zamani wa serikali ya Muungano wa Tanzania, Alfred Tandau, nyumbani kwa marehemu, Magomeni jijini Dar es salaam, Mai 2,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0408
Waziri Mkuu mh. Mizengo Pinda akizungumzana na mtoto wa kwanza wa Waziri wa Kwanza wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius Tandau wakati alipokwenda kuhani msiba wa Waziri huyo wa zamani aliyefariki dunia hivi karibuni, nyumbani kwa maremu, Magomeni jijini Dar es salaam Mei 2, 2013. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top