Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA YA TIMU YA AZAM WAKIWA MOROCCO

 

Wachezaji wa Azam FC wakipata chakula cha mchana katoka hoteli ya Golden Tulip leo, Rabat, Morocco ambako wapo tangu Jumatatu kwa ajili ya mchezo wa marudiano, Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho Afrika keshokutwa mjini hapa.

Chakula kitamu utajua tu; John Bocco anajilamba vidole
Ni kujipimia; Brian Umony kushoto na Waziri Salum kulia
Uhondo; Abdi Kassim 'Babbi' akila kwa raha zake
Kocha Muingereza, Stewart Hall akijadiliana mambo na Mratibu wa Azam katika mashindano ya Afrika, Florian Kaijage leo Golden Tulip
Mbunifu; Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi kulia akiwaonyesha blog ya BIN ZUBEIRY wachezaji wa Azam FC kupitia simu lake la hatari la Galaxy SI
Mtu na kaka yake; Bin Zubeiry na Kaijage Golden Tulip
Mkono wa Sure Boy; Picha hii imepigwa na Sure Boy...jamaa si soka tu, ana ujuzi mwingi

Credits: Bin Zubeiry
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top