Naibu
waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu Katikati akiwa na mbunge
wa Arusha mjini Godbless Lema kushoto na Mkuu wa mkoa wa Arusha Maggesa
Mulongo wakati wakikabidhi misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa bomu
kwenye hospitali ya St.Elizabeth jijini Arusha Leo Asubuhi
on Wednesday, May 8, 2013
Post a Comment