Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SUZA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA NCHI ZA KIISLAM DUNIANI OIC

IMG 1339 3128e
Ujumbe wa Nchi ya Omani ukiambatana na Maafisa wa Umoja wa Nchi za Kiislamu Duniani OIC ukiwasili Zanzibar kwa lengo la kufanya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa OIC utakaofanyika Mwezi Septemba Visiwani Zanzibar.
IMG 1364 00483

IMG 1373 461a1
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kumbumbuku na Nyaraka ya Nchi ya Oman Dkt. Hamed Mohammed ambaye ni Mkuu wa Ujumbe huo akifafanua jambo katika Mkutano wa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa OIC utakaofanyika Mwezi Septemba Visiwani Zanzibar, katikati ni Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu SUZA na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa OIC katika Kitengo cha Utafiti na Utamaduni Dkt. Halit Eren
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top