Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAREMBO WAJIFUA KUWANIA TAJI LA MISS KIBAHA MEI 17 KIBAHA KONTENA

 Mwalimu wa shoo ya pamoja ya warembo wanaowania kushiriki kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Kibaha 2013, Bob Rich, akiwafua warembo hao wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni. Shindano hilo linatarajia kufanyika Mei 17 katika Ukumbi wa Kontena Kibaha.
 Warembo hao wakiwa katika picha ya pamoja yapozi wakati wa mazoezi yao.
Bob Rich, akiendelea kuwanoa warembo hao katika Ukumbi wa Vijana kinondnoni.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top