Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa JWTZ
wanaokwenda kujiunga na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika sherehe za kuwaaga
zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa Pwani leo Mei 8, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wanashuhudia.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtakia kila la heri kiongozi
wa batalioni ya wanajeshi wa JWTZ wanaokwenda kujiunga na jeshi la
Umoja wa Mataifa kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
katika sherehe za kuwaaga zilizofanyika Msangani, Kibaha, Mkoa wa
Pwani leo Mei 8, 2013.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.
Shamsi Vuai Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
wanashuhudia.Picha na IKULU
Post a Comment