Mkutano
wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga
na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike Leo (Mei 23 mwaka huu)
umeahirishwa mpaka hapo mtakapoarifiwa tena.
Boniface Wambura
Ofisi Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
on Thursday, May 23, 2013
Post a Comment