Waziri wa Viwanda na Biashara
Mhe. Abdallah Kigoda (wa tatu kulia) akipewa maelezo juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na
benki ya NMB kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi
la Madaraka, Juma Mpimbi (kushoto) wakati alipotembelea kwenye banda la NMB kwenye ufunguzi wa
maonyesho ya biashara mkoani Tanga.
Waziri wa Viwanda na Biashara
Mhe. Abdallah Kigoda akisalimiana na Ofisa wa benki ya NMB tawi la Madaraka,
Elvis Shao alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara
mkoani Tanga. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Chiku Gallawa (pili kulia) na Meneja wa
NMB Tawi la Madaraka, Juma Mpimbi.
Maofisa wa benki ya NMB Tawi la Madaraka wakiwa
katika banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara yaliyozinduliwa na Waziri wa
Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda mkoani Tanga.
credits: mafoto web
Post a Comment