Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

POLISI WAUA TARIME MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI; TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

 


Haya ndiyo yaliyofanyika Tarime Jana mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya

Download Our App

1 comments:

jamani watanzania tunaenda wapi kwa hali hii? hiki nikitendo cha kinyama walichokifanya askari wetu na kinapaswa kulaaniwa vikali sana; Ee mungu ilaze mahali pema roho ya marehemu

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top