Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais
wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri
Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya
Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwet akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya
Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.PICHA NA IKULU.
Post a Comment