Spika
wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiongoza kikao cha pamoja na wajumbe wa
kamati maalum iliyoundwa na Spika kuchunguza chanzo cha migogoro ya
wananchi wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi.
*SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA ALIPOKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI TZ, BI. FIONNULA GIISENNAN
Spika
wa Bunge Mhe. Anna Makinda akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa
Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan, wakati alipofika Ofisini
kwake Bungeni mjini Dodoma kwa mazungumzo, leo mchana.
Post a Comment