Mai
mosi, Dar es Salaam;
Jana usiku timu kutoka Kenya na Tanzania ziliwakilisha vizuzi Afrika mashariki katika sehemu ya saba ya
GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™. Timu ya Kenya ilifanikiwa kuzishinda timu
nyingine na kufikia hatua ya mwisho ya ukuta wa pesa wa Guinness. Kenneth kamau
na Wills Ogutu wote kutoka Nairobi wamefuzu nusu fainali pamoja na watanzania
Daniel Msekwa na Mwalimu Akida Hamad ambao walipata nafasi ya pili jana
usiku.
Timu hizi mbili kutoka Kenya na Tanzania
sasa zina nafasi ya kuwakilisha Afrika mashariki na kushinda hadi dola za
kimarekani 250,000 pamoja na kuvikwa taji la ushindi wa Pan-African,
watakapoendelea hatua z juu zaidi. Timu hizi zitahitaji kujiandaa vizuri zaidi
na kujiamini ili kufanya vizuri katika hatua ya nusu fainali.
Timu zingine nne zitakutana katika
robo fainali ijayo ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali ya mashindano ya
GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE.
Usikose kuangalia robo fainali za Pan-African kupitia televisheni
za ITV na Clouds TV ambapo timu za Africa Mashariki zinapokutana na timu na
timu zingine kutoka Afrika Magharibi huku ukiburudika na kinywaji cha GUINNESS.
Hakikisha
kuufwatilia ukurasa wa facebook wa GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE kwa habari
mbalimbali. -www.facebook.com/guinnesstanzania
GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE, ni kipindi cha mchezo
wa soka kinachotayarishwa na kampuni ya kimataifa ya Endemol. Usikose kuangalia na kufuatialia kipindi hiki
katika runinga yako kupitia televisheni za ITV na Clouds TV kila siku ya
Jumatano usiku.
Tafadhali kunywa
kistaarabu - Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.
Notes to Editors:
The GUINNESS and FOOTBALL
CHALLENGE, and GUINNESS VIP words and associated logos are trade marks
Post a Comment