Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Aloysius Mujulizi akimkabidhi Waziri Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe Ripoti za Mapitio ya Mfumo wa Sheria za Haki za Madai na Tamko la Sheria za Kimila ambazo zimefanyiwa kazi na Tume katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Dodoma
Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akizungumza katika hafla hiyo
Baadhi ya watu mbalimbali waliohudhuria makabidhiano hayo
Makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Ripoti hiyo
Sehemu ya watu walohudhuria hafla ya kukabidhi Ripoti za Tume kwa Waziri
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe akiangalia Ripoti alizokabidhiwa
Mh. Chikawe akizungumza marabaada ya kukabidhiwa Ripoti
Post a Comment