Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA AU JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA


au4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika chumba cha mikutano baada ya kuhudhuria kikao cha 29 cha wakuu wa nchi za NEPAD pembeni ya mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia aup1
Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika na wageni mashuhuri walioalikwa wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
IMG_6971
Marais wastaafu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia. Kutoka kushoto ni Dkt Kenneth Kaunda (Zambia), Sam Nujoma (Namibia) na Mzee Festus Mogae (Botswana)IMG_6999
Mama Salma Kikwete na wake wa marais wengine wakiwa katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top