wakifurahi na babu
Babu akitoa maelekezo ya historia kwa ufupi huku warembo wakimsikiliza kwa umakini
wakimsikiliza babu kwa umakini mkubwaaa
kweli kuna vitu vingi vya kuvutia
hadi pesa ya zamani
vibuyu hivyo vilivyotumika kuchotea majibabu akiwaonesha matoborwa (viazi vitamu) vilivyozalisha jina la Tabora ikiwa zamani iliitwa Unyanyembe
LIVINGSTONE ALIPOONDOKA TABORA
KWIHALA HADI LAKE BANGWERUBEMBA 25/08/1872 (ZAMBIA) ALIPATWA NA MAUTI
TAR 1 MAY 1873 (60YRS OLD) ALIZALIWA MWAKA 1813. BAADA YA KIFO CHAKE
VITU VYOTE VYA TUMBONI VILITOLEWA NA KUZIKWA KANDO YA ZIWA BANGWERU
KIJIJI CHA KITAMBO, MWILI WAKE ULIPAKWA CHUMVI NA KUANIKWA JUANI NA
KISHA ULISAFIRISHWA KWA MIEZI 9 HADI BAGAMOYO NA KUHIFADHIWA KATIKA
KANISA LA KWANZA LA WAROMA LILILOJENGWA 1868, BAADAYE ZANZIBAR NA
KUPELEKWA SCOTLAND ULAYA
kumbukumbuwakila maelekezo ya kutosha toka kwa babu
(ikiwa imebomoka kwa sasa) Ngome
ya ulinzi ya mtemi Isike Mwanakiungi aliyotumia kupigania vita na
Wajerumani kwa miaka takribani 5 kabla ya kujiua hapo hapo kwenye ngome.
Hapa ndipo ulikuwepo mlango wa
ngome (kwa maelezo: ngome hii wakati wa vita hiyo na mjerumani ilikuwa
hawawezi kuiona ikiwa nguvu za dawa za kimila ndo zilifanya kazi hiyo)
ilikuwa mbinde kidogo, wamejifunza kuvumilia kutembea katika maeneo magumu
hapa ni katika jiwe ambalo pana
maajabu mengi katika historia: Ni eneo ambalo walikuwa wakifanyia
uchaguzi wa Watemi, pia maajabu yaliyopo ni kama jiwe kutoa mlio wa
ngoma, alama ya kuwekwa mkuki wa mganga wa mtemi Isike Mwanakiungi, pia
alama ya alipolala mganga huyo na kucheza bao yeye mganga na walinza
pamoja na wanawe.
Mrembo akijaribu kukaa ambapo alama ya makalio ilibaki
sehemu patoapo mlio wa ngoma katika jiwe hilo
warembo wakipiga ngoma na babu (mwelekezaji) akicheza... burudani tupu juu ya jiwe
warembo wakitokelezea kwa picha ya pamoja. PICHA NA: ALOYSON
"WAREMBO WAMEPATA KUJUA MTU WA PEKEE ALIYEZIKWA KABURI MBILI DUNIANI, AMBAYE NI Dr. LIVINGSTON; VIUNGO VYA NDANI VILIZIKWA BARANI AFRIKA NA MWILI WAKE ULIZIKWA BARANI ULAYA"
Post a Comment