Paroko
wa Kanisa Katoliki,Parokia ya Olasiti,Padri Peddy Costelino akitoa
maelezo jinsi mlipuko ulivyotokea jana(katikati) ni Waziri wa Nchi ofisi
ya Rais(Mahusiano)Stephen Wasira na Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa
Waziri Mkuu mstaafu,Edward Lowassa akizungumza leo
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza Msaidizi wa Askofu
Jimbo Kuu la Arusha,Simon Tenges
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akilakiwa na Paroko wa Kanisa Katoliki,Parokia ya Olasiti,Padri Peddy Costelino
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi
Paroko wa Kanisa Katoliki,Parokia ya Olasiti,Padri Peddy Costelino akizungumza
Paroko wa Kanisa Katoliki,Parokia ya Olasiti,Padri Peddy Costelino akizungumza
Waziri wa nchi ofisi ya Rais(Mahusiano na Uratibu)akitoa salamu za pole
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii akitoa salamu zake
Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Arusha,Catherine Magige akitoa salamu zake
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa salamu za serikali kwa kuwataka wananchi kutoa taarifa zitakozoweza kuwatia mbaroni wahalifu
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Waziri Mkuu,Pinda wakiwa kwenye eneo la kanisa liliopotokea tukio la maafa ya mabomu
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu
Taasisi
ya ujasusi ya Marekani(FBI)wameingia jijini Arusha kuchunguza tukio la
ulipuaji wa Kanisa katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Parokia ya
Olasiti jijini Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo
ameyasema hayo jioni ya leo wakati akitoa taarifa kwa waziri
Mkuu,Mizengo Pinda aliyefika kuwafariji wafiwa na kutoa tamko la
serikali
Pinda amesema kuwa hakuna mtu atakayeweza kukomesha dini nyingine kwa kuua viongozi wa dini yeyote bali jambo linalitakiwa ni kuvumiliana watu wa imani tofauti na kuendelea kudumisha amani
Pinda amesema kuwa hakuna mtu atakayeweza kukomesha dini nyingine kwa kuua viongozi wa dini yeyote bali jambo linalitakiwa ni kuvumiliana watu wa imani tofauti na kuendelea kudumisha amani
Watu
mbalimbali wanashikiliwa wakiwemo raia wanne wa Saudia Arabia ambao
waliwasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA)na kuondoka
nchini kupitia mpaka wa Namanga wakielekea nchini Kenya baada ya tukio
kutokea.
PICHA MAELEZO NA FILBERT RWEYEMAMU
Post a Comment