Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ZITTO KABWE AONGELEA KUHUSU KUBINAFSISHWA KWA RELI DSM

 


Zitto Kabwe
Ubinafsishaji wa usafiri wa reli Dar Es salaam - uk. 24 wa hotuba ya Waziri Mwakyembe " .... Wizara kupitia RAHCO itakamilisha mchakato wa kumpata mwekezaji na mwendeshaji wa huduma ya usafiri wa treni ya abiria katika jiji la Dar Es Salaam atakayetumia miundombinu ya reli iliyopo....." 
 
Kwa nini serikali haikuanza Kwa kuwa na Shirika la Reli Dar Es Salaam kabla ya kwenda kwenye ubinafsishaji? .Tumeshafanya tathmini ya ubinafsishaji wa awali wa usafiri wa reli nchini? Tumejifunza nini?

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top