Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BENKI YA CRADB YAZINDUA "FAHARI HUDUMA"


Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakipozi kwa picha dakika chache kabla ya kumpokea na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Dk Charles Kimei, katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Kiondo (wa tatu kushoto), akijiandaa kumpa mkono Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk Charles Kimei wakati akiwasili Kempinski Hoteli kwa ajili ya uzinduzi wa FahariHuduma ya benki hiyo.
Emmanuel Kiondo, akimpa mkono Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk Charles Kimei wakati akiwasili Kempinski Hoteli kwa ajili ya uzinduzi wa FahariHuduma ya benki hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa akizungumza machache kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam.
Dk Kimei akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo'.
Wafanyakazi wa CRDB wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa FahariHuduma jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Wageni waalikwa katika uzinduzi huo, wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji Dk Kimei (hayupo pichani)
Dk Kimei akisoma moja ya vipepeushi wakati wa hafla ya uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa (kushoto) akifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa FahariHuduma 'Ulipo Tupo' inayotolewa na benki hiyo.
Wasanii wa kundi la THT wakitoa burudani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mataruma akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo.
Donald Mushi akitoa mada wakati wa uzinduzi huo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakipokea zawadi kutoka kwa, Naibu Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka
Ofisa wa benki ya CRDB, Ivonne Milinga akitoa maelekezo kwa baadhi ya wageni kuhusu namna ya kujaza fomu za kuomba uwakala wa FahariHuduma.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top