Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KONYAGI YAGAWA VIFAA 130 VYA KUHIFADHIA TAKA KWENYE MABAA DAR


 
Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika leo. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Mama Kamche's iliyoko Mwenge, Patrick Mrema, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50. ZAIDI BOFYA HAPO CHINI
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Etina iliyoko Mwenge,Egbert Mtunza, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa
Mchuruza akielezea mbele ya wanahabari umuhimu wa vifaa hivyo
Mchuruza akionesha moja ya vifaa hivyo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top