Mtoto Fahad Jamal alipotembelewa na Waziri wa Mambo ya
Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi kwenye chumba cha ICU siku chache zilizopita.Mtoto
Fahad Jamal (7) ambaye hali yake ilikuwa mbaya na kulazwa chumba cha wagonjwa
wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya
Selian kufuatia kujeruhiwa na bomu katika mkutano wa Chadema Arusha Amefariki
dunia
on Thursday, June 20, 2013
Post a Comment