Kwa Taarifa zilizo tufikia katika chumba chetu cha habari zinasema
kwamba Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa
Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi katika kituo Kikuu cha Polisi Mkoani
Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.
Endelea kufuatilia
hapa hapa NDGSHILATU BLOG kwa habari na picha zaidi .....
Post a Comment