| Naibu katibu Mkuu wa CCM Tanzania bara Mh.Mwigulu Lameck Nchemba Madelu akiwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa udiwani Jijini Arusha kata ya kimadolu hii leo tar.15/06/2013 |
| Mapokezi yamepamba moto |
| Mamia ya wananchi na wanachama wa kata ya kimadolu wakiwa tayari kusikiliza mkutano wa hadhara wa kufunga kampeni za uchaguzi wa udiwani kwenye kata yao. |
| Mnapo sema CCM imejaa wazee"kwani sisi ni wazee?" |
| "Kapigeni kura,usalama upo na hakuna wa kuwatisha"Mh.Mwigulu nchemba |
| Kazi na dawa.Pichani ni kijana aliyejitokeza kurudisha kadi ya CHADEMA Mbele ya Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara,Mh.mwigulu Nchemba |
| "Mmeionaaaaaaaa?Kijana amejitambua anarejea kwenye chama cha watu wenye nia na maendeleo,CCM chama cha kitaifa"Naibu Katibu Mkuu Mwigulu Nchemba |
| Kijana akiwa amependeza kofia na kitambaa cha CCM,Huku Mh:Mwigulu Nchemba akionesha kadi ya CHADEMA kama ishara ya kupata mpiga kura mwingine kwenye uchaguzi wa kesho tar.16/06/2013 |
| Karibu sanaa nyumbani,CCM Oyeeeeeeeeee.Viva CCM Vivaaaaa |
| Mamia ya Wanachi wakiwa na utilivu wa hali ya juu wakimsikiliza Naibu katibu mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba |
| "Tutawashindia hapa hapa.Wao wameshindwa kuwaheshimu wakamfukuza diwani.CCM itawapa diwani bora na kwamanufaa ya wanakimadolu na sio mtu binafsi" |


Post a Comment