Wazee wa kimila wakifanya ibada ya kimila kabla ya
kuanza kwa mkutano wa kampeni za Udiwani Dongo besh.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa
kata ya Dongo besh na kuwaambia wakati ndio huu kwa wao kuchagua kiongozi
atakaye wafaa kwa kuleta maendeleo yao.
Mgombea wa udiwani wa Dongo besh, Joseph almaarufu
Cheng Lee akihutubia wakazi wa eneo hilo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akimsikiliza mkazi wa Dongo besh aliyeamua kurudisha kadi ya Chadema na
kurejeaa CCM,baada ya kuelewa yale aliyokuwa akihutubia Nape.
Mtoto huyu hakuwa nyuma kufuatilia mkutano wa kampeni
za udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Dongo besh.
Wakazi wa Dongo besh wakiwa juu ya mti kabisa
kusikiliza sera za CCM.
Umati mkubwa wa wakazi wa Dongo besh wakimsikiliza kwa
makini Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni za
udiwani zilizofanyika Dongobesh
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akishiriki kucheza
ngoma ya wenyeji wa Dongo besh mara baada ya kumaliza kuhutubia na kufunga
kampeni za kugombea kiti cha udiwani.
BASHNET
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akisalimiana na Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu ( Uwekezaji na Uwewezeshaji)
Dk. Marry Nagu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na Mbunge
wa Babati Vijijini , ndugu Jitu Soni
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Nape Nnauye
akisalimiana na mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa
Bashnet wwakati wa kuhitimisha mikutano ya kampeni za udiwani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akimtambulisha mgombea wa kiti cha udiwani kwa tiket ya CCM, Ndugu Nicodemus
Gwandu.
Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni akiwa pamoaja na
wananchi wa jimbo lake wakati wa mkutano.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimjulia
hali mama mzazi wa Laurent Tara.Picha Zote
na Adam Mzee-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM
Post a Comment