Video hii ya saa
moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto
mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo
palitokea mlipuko na shambulio jioni punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba
za viongozi mbalimbali, imewekwa youtube na Jesse R.
Loading...



Post a Comment