Waziri wa Habari,Vijana
Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akiongea
na Viongozi wa UVCCM wakati akifungua semina elekezi kwa watendaji wa UVCCM
wilaya ya Kinondoni jana jijini Dar es Salaam.

Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akipokea
Risala ya UVCCM iliyoandaliwa na Katibu wa UVCCM wilaya ya Kinondoni Issack
Kalleiya.
Baadhi ya watendaji wa UVCCM
wilaya ya Kinondoni wakisikilizi hotuba ya ufunguzi wa semina yao iliyotolewa na
mjumbe wa NEC na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo.Mhe.Dkt Fenella
Mukangara
Baadhi ya watendaji wa UVCCM
wilaya ya Kinondoni wakisikilizi hotuba ya ufunguzi wa semina yao iliyotolewa na
mjumbe wa NEC na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo.Mhe.Dkt Fenella
Mukangara
Waziri wa Habari,Vijana
Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akibidhi
vifaa vya michezo kwa Katibu wa UWT kata ya Ubungo Bi. Rose Ndunguru.Vifaa hivyo
vimetokana na ombi maalum kwa ajili ya ligi ya mpira wa Pete inayojulikana kama
Rose Wasiri Cup.Mashindano hayo yameanza leo jijini Dar es Salaam katika viwanja
vilivyoko Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.Jumla ya mipira tisa na seti mbili
za jezi zimekabidhiwa.

Post a Comment