Kutoka
kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatma Mrisho,
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee
Mark Bomani na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar
Issa wakimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni
15.000.000 Sister Adalbera Mukure wa Mkurugenzi wa kituo cha Kulelea
watoto yatima cha Moyo wa Huruma cha Geita wakati wa hafla maalum ya
kukabidhi fedha hizo kwa mashirika mablimbali yanayopambana na ugonjwa
wa ukimwi iliyofanyika jana kwenye hoteli ya Hyyat Regence jijini Dar es
salaam fedha hizo zinakusanywa kampuni ya kuchimba dhahabu ya Geita
Gold Mine na washirika wake kwa kupanda mlima kilimanjaro 

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar Issa, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee Mark Bomani na Mkurugenzi
wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatma Mrisho, wakiwa katika picha
ya pamoja na maafisa wa TACAIDS kutoka kulia ni Jumanne Issango
mkurugenzi wa Uraghibishi, Beng’i Issa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala na
Moriss Lekule Mkurugenzi wa Mwitikio wa Taifa 

Kutoka
kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatma Mrisho,
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee
Mark Bomani na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar
Issa wakimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni
40,000,000 Suzan Mwita Kitengo cha Mawasiliano ya Ndani Geita Gold Mine.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee
Mark Bomani akiwatambulisha watoto yatima Irene Joachim Katikati na
Geofrey Yohana watakaopanda mlima Kilimanjaro katika kuhamasisha taasisi
na mashirika mbalimbali kuchangia fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya
ukimwi 

waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo

Fatma
Fernandes Mkurugenzi wa kampuni ya Asel & Fernandes Communiacation
akipokea picha yake mara baada ya kuinunua katika mnada uliofanyika
kwenye hafla hiyo katika kuchangia fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya
ukimwi. 

Waalikwa kutoka taasisi ya Tanzania EITI wakiwa katika hafla hiyo ambapo walichangia kiasi cha shilingi 500.000 

Fatma
Fernandes Mkurugenzi wa kampuni ya Asel & Fernandes Communiacation
wa pili kutoka kushoto na Muna Yemane wa tatu kutoka kulia Meneja
mahusiano wa kampuni ya Asel & Fernandes Communiacation wakiwa katika picha ya pamoja na warembo waliokuwa wakipokea wageni 

Bw. Faustine Chombo muongozaji wa kupanda mlima kilimanjaro ambaye ndiye atakayewaongoza wapandaji hao 

wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar Issa akizungumza katika hafla hiyo
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar Issa akizungumza katika hafla hiyo

Post a Comment