Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE WA UINGEREZA WAFURAHISHWA NA MAENDELEO YA UDOM

 


1 5 4
Ujumbe wa wabunge watano kutoka Uingereza umewasili nchini na kutembelea Chuo Kikuu cha Dodoma kujionea mandeleo yake. Baada ya kupokelewa uwanja wa ndege wa Dodoma na Mwenyekiti wa CPA tawi la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu, wabunge hao wakiwa na wenyeji wao walikutana na Makamu Mkuu wa UDOM Prof. Kikula na baadaye kufanya ziara fupi kwenye hospitali ya Chuo kitengo cha matibabu ya figo na sehemu ya utakasaji wa maji yanayotumika kwa upasuaji. Ziara ya UDOM iliitimishwa dhifa fupi iliyoandaliwa na Ofisi ya Bunge ikiongowa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ngugai pamoja na Katibu wa TWPG na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angela Kairuki katika Hoteli ya Dodoma.
Na Prosper Minja – Bunge
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top