Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kampuni ya Symbion Power ya Marekani ikishirikiana na Klabu ya Sunderland ya jijini London kujenga Academy ya Mpira wa miguu Tanzania.

 

PIX2

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifafanua jambo leo jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu ujenzi wa Academy ya Mpira wa miguu itakakayojengwa na Kampuni ya Symbion Power ya Marekani kwa kushirikiana na Club ya Sunderland ya jijini London.Ujenzi huo unatokana na ahadi aliyopewa Mh.Rais Dkt.Jakaya Kikwete alipokuwa katika ziara ya kikazi nchini Uingereza.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top