"Jioni hii umetokea mlipuko wa
bomu la kutupwa kwa mkono jijini Arusha katika mkutano wa CHADEMA.
Damu imemwagika.
Kwa mara nyingin tena tunaona serikali ikishindwa kulinda wananchi wake ambao
wanaamini ni wakati wa fikra mbadala za uongozi wa Taifa ili kujiletea
maendeleo na kusimamia utu wao.
Nawaambia, umma
utashinda. Tofauti ni kwamba fikra hii mbadala itawahakikishia wao usalama
katika mikusanyiko yao ya kisiasa wakati watakapokuwa chama cha upinzani.
Siku hiyo inakuja.
People's Power!"
CREDITS: EDDYMOBLAZE BLOG
Post a Comment