|
Mwakilishi
wa Coastal Union YA Tanga, nchini Kenya, Hussein Tawaqal akikamilisha
usajili la kiungo wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Bandari ya huko,
Crsipin Odula Wadenye kwa kusaini naye Mkataba wa miaka miwili leo mjini
Mombasa, Kenya.
Kocha
wa Coastal, Hemed Morocco alikuwa akililia sana kwa uongozi wa timu,
uhakikishe unainasa saini ya Odula aliyechezea Azam FC mwaka 2008 kwa
gharama yoyote ili aje kutengeneza ushirikiano wa hatari katikati ya
timu, kati yake na Mkenya mwenzake, Jerry Santo na mzalendo Haruna Moshi
‘Boban’.
CREDITS: bIN zUBEIrY BLOG
|
on Saturday, June 22, 2013
Post a Comment