Redd's Miss Kinondoni, 2013, Lucy Tomeka (katikati) akiwa na furaha na washindi wenzake mshindi wa pili, Prisca Clement (kulia) na wa tatu, Linda Joseph, baada ya kutangazwa washindi katika shindano lao lililofanyika jana usiku katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini Dar es Salaam. |
Mshindi
wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka, akivalishwa taji lake na
mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo la Redds Miss Tanzania
2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka alitwaa taji hilo baada ya
kuwamwaga washindani wenzake 11 katika kinyang'anyiro hicho
kilichofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip jijini Dar.
Akivalishwa utambulisho wake.
Showlove...
Warembo
waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati
ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca
Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza
kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).


Post a Comment