Aliyekuwa Mwenyekiti wa umoja wa wachimba madini
wadogowadogo wilayani Chunya Marehemu George Mwaikela enzi za uhai
wake.
|
Mwili wa George Mwaikela ukiwa nyumbani kwao Kijiji cha
Ngujubwaje, Ushirika Tukuyu, tayari kwa mazishi.
|
Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwasili
msiba wa George Mwaikela akiwa pamoja na mhe Bakari Malima
|
Kushoto ni mke wa marehemu George akiwa na mama Salama
Kikwete kwenye misa ya
mazishi
|
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro akiwa katika
mazishi ya George Mwaikela, Kijijini Ngujubwaje Tukuyu.
|
Mhe. Malima akitoa salam zake za rambi rambi katika
mazishi ya George Mwaikela kijijini Ngujubwaje, Tukuyu.
|
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro akitoa salam za
mkoa wakati wa mazishi ya George Mwaikela kijijini Ngujubwaje,
Tukuyu.
|
Hapa ndipo alipolala milele mpendwa wetu George Mwaikela.
Mungu ipumzishe roho ya George mahali pema peponi - Amen
|
Picha na Bashiru Madodi
Mbeya yetu
Post a Comment