Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Wakati wapiga kura wake wakilia huduma mbovu za kimatibabu, Joshua Nassari alazwaHospitali ya Taifa Muhimbili na kupewa kitanda, VIP

 
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akionesha simu yake ya mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kufavamiwa kwake.
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam leo akipata matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani jijini Arusha.
Mbunge wa Vunjo, Mh. Agustino Lyatonga Mrema akimjulia hali mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.




 

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipoletwa jana usiku akitokea jijini Arusha.



Nassari akiwa ni miongoni mwa wabunge vijana wadogo kabisa hapa nchini, anajulikana pia kwa jina la 'Dogo Janja', ambapo yupo katika matibabu baada ya kupata matatizo katika kazi majukumu ya kisiasa na kuzua hofu kwa wanachama wa Chadema, wakiwapo waliomchagua katika Jimbo la Arumeru
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top