
.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha
katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na
Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan,
baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kuwasili kwa ajili ya mazungumzo na Kinana,
leo Juni 6, 2013.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha
katika hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati Kuu na
Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan,
baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kuwasili kwa ajili ya mazungumzo na Kinana,
leo Juni 6, 2013.

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akimpa
zawadi ya sanamu ya twiga iliyotengenezwa kwa vyuma chalavu, Mjumbe wa Kamati
Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang
Quan, wakati wa chakula cha mchana kwenye mgahawa wa Akemi, jijini Dar es
salaam. Sanamu hiyo ni ubunifu unaofanywa na kikundi cha walemavu jijini Dar es
salaam

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha
Vietnam Hoang Quan, baada ya mazungumzo yao katika hoteli ya Protea Courtyard,
Dar es salaam, leo. Kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na watatu kushoto ni Nape
Nnauye.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia)
akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha
Kikomunisti cha Vietnam (CVP), Hoang Quan (wapili kulia), katika hoteli ya
Protea Cortyard jijini Dar es Salaam. leo Juni 6, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC
ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Watatu kushoto
ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa
Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Hoang Quan, akizungumza katika hoteli ya
Protea Courtyard, Dar es salaam, leo. Kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na watatu
kushoto ni

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Phili Mangula
akizungumza wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya ujumbe wa
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha
Vietnam Hoang Quan (wapili kushoto) katika Mgahawa wa Akemi jijini Dar es
Salaam. leo.Picha zote na Bashir Nkoromo


Post a Comment