Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu
wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha
akifafanua kuhusu mikopo inayotolewa na wizara ya fedha.
Afisa
Maendeleo ya Jamii Mwandamizi Bw. William Ghump akifafanua jambo kuhusu
Mkakati wa kukuza uchumi na kuondoa umasikini kwa wananchi
waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha.
Mkuu wa Serikali Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha Bi. Christine Ngonyani akifafanua jambo kwa wananchi wa Ghana.
Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma akijibu
swali kutoka kwa Mwanajeshi wa Ghana aliyekuwa anataka kujua
ni jinsi gani Wizara ya fedha inawasaidia wanajeshi ambao wanataka
kujikwamua kiuchumi.Wakushoto kwake ni Bw. Midladjy Maez(Mkatamiti)
ambaye ni Maneja wa Mahusiano TRL akisikiliza kwa makini maelezo hayo.
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Bi Christine Ngonyani akiwa na Miriam
Mnzava kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali pamoja na Mkuu wa Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini Bi. Ingiahedi Mduma wakiwapatia huduma wakuu
wa jeshi la Magereza la nchini Ghana.
Mkuu
wa Kitengo cha Mikopo Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa
Serikali Bi. Christine Ngonyani akimpatia vipeperushi Bw. S.M Gyepi-
Garbrah Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani Ofisi ya Rais wa Ghana
wakati wa Maadhimisho ya maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Nchini
Ghana.
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo
Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine
Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha walipotembelewa na Bw.
Pascal Mugabe ambaye ni Afisa Tawala Rasilimali Watu wa Idara ya
Utawala, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye yupo Nchini Ghana kwa
masomo ya elimu ya juu(Phd) .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani alipotembelea banda la Wizara ya fedha na kuelezea jinsi alivyofurahishwa na ushiriki wa Wizara ya fedha katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani akisani kitabu cha wageni. Picha zote na Scola Malinga – Hazina- Tanzania
Post a Comment