Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I, Judith William Moshi, aliefariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013.