Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBUNGE WA CCM NKASSI MWENYE TABIA YA KUSEMA OVYO ATOA MPYA TENA BUNGENI LIVE .... HIKI HAPA NDICHO ALICHOBWATUKA


1741
Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy.
pohon ganja di rumah osama biin laden (1)
Mbunge wa Nkassi Ali Mohamed Keissy nchini Tanzania hivi karibuni alipendekeza nchi hiyo kuruhusu ulimaji wa bangi kama zao la biashara nchini humo, akieleza kwamba zao hilo linaweza kuleta faida kubwa nchini humo kuliko Tumbaku. Nilipata nafasi ya kuzungumza nae kwenye kipindi chetu cha Jamii na Maendeleo (Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America-VOA) 


Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ANAKINUKISHA BUNGENI MUDA ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAKO;;; (rekodi aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa mjengoni)PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA...........
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top