Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani akifungua mkutano wa Mwaka wa Makatibu Tawala wa Wilaya unaofanyika mjini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mwaka wa Makatibu Tawala wa Wilaya wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani alipokuwa akifungua mkutano huo mjini Dodoma.
Post a Comment