Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya enzi za uhai wake
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji na kumpa pole Mama wa Marehemu Mbunge wa viti Maalum Mama Kyendesya
Mke wa Rais Mama Salma kikwete akiwapa pole ndugu jamaa na Marafiki
Kaka wa Muheshimiwa Rais Mzee Miraji Kikwete akimpa pole Mama wa Mareheremu Sargent Christopher Kyendesya
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa salamu zake za
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Myuheshimiwa Abas Kandoro akitoa salamu za pole kwa Familia ya Marehemu Ndugu jamaa na Marafiki.
Kamanda wa Polisi Mkoa Diwani akitoa Salamu za Pole kwa ndugu jamaa na Marafiki kwa Niaba ya Jeshi la Polisi.
Msemaji Kutoka Jeshi la Polisi na aliye ongoza msafara wa kuuleta mwili wa Marehemu, akisoma Historia fupi ya Marehemu.
Kaka wa Marehemu Mzee Miraji Kikwete wa Pili kushoto akiwa katika ibada ya Mazishi
Salamu za Rambirambi zikitolewa kwa niaba ya Mbunge wa viti Maalum Dr. Mary Mwanjelwa
Aliyekuwa Mratibu wa Shughuli ya Mazishi Bwana Mwakipesile akizungumza jambo
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha FFU wakifyatua risasi juu ikiwa ni Ishara ya Heshima katika Mazishi hayo
Mchungaji wa Kanisa la Moraviani akitoa Mbaraka wakati wa kumaliza ibada ya Mazishi
Mke wa Marehemu Sargent Christopher Kyendesya akiweka Shada la Maua
Mama
wa Marehemu Sargent Christopher Kyendesya , Muheshimiwa Mbunge Mstaafu
Florence Kyendesya akiweka Shada la maua katika Kaburi
Mtoto
wa Maremu jina Erick akiweka shada la mauwa katika kaburi la Baba yake
pia kwa niaba ya Pacha wake ambaye alichelewa Mazishi
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete Akiwa na Kaka wa Muheshimiwa wa Rais Jakaya
Kikwete wakiweka Shada la Mauwa katika kaburi la Marehemu Sargent
Detective Christopher Kyendesya
Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa Abas Kandoro pamoja na Mkewe wakiweka Shada la Maua katika kaburi la Marehemu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani akiweka shada la maua katika kaburi la maremu kwa niaba ya Jeshi la Polisi
Ndugu Shitambala wa Pili kutoka Kushoto akiwa katika msiba
Hawa ni vijana kutoka Sae ambao ndio waliochimba kaburi la Marehemu .
Picha zote na Mbeya yetu
Post a Comment