Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SIKU 4 WA MAWAKALA WA USAFIRISHAJI WA MAJINI KWA NCHI ZA MASHARIKI YA KATI MWA AFRIKA.WAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM


SONY DSC
Naibu Katibu mkuu wizara ya Uchukuzi.John Mngodo akisoma hotuba yake jana wakati akifungaMkutano Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati kwa Afrika, uliofanyika Hoteli ya Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam  Juni 19, 2013 unaofanyika kwa siku nne.
SONY DSC
Wadau  na Mawakala wa Usafirishaji wa Majini kwa nchi za Mashariki ya Kati.wakiwa kwenye mkutano huo.
SONY DSCMwakilishi kutoka benki ya(NMB)Bw.Gerald Kamugisha akiwakilisha mada yake kuhusiana na bidhaa za za benki hiyo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top