
Msanii Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha Bulioni Mjini Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Makamo Mwenyekiti wa kamati ya maridhiano Eddi Riami, akitoa nasaha zake kwa wazanzibari, huko katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanziba

Waandi wa habari wa vyombo tofauti Nchini wakihakisha wanapata matokeo mbalimbali yaliojiri katika Mkuto wa CUF ulifanyika kibanda maiti.

Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria Mkutano wahadhara, wakisikiliza hutba ya Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi hayupo pichani alipokuwa akiwahutubia katika viwanja vya kibanda maiti nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
Post a Comment