Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NDEGE NDOGO YA COASTAL YAPASUKA TAIRI WAKATI IKITUA

 


 Ndege ndogo ya Coastal, ikiwa imeegeshwa pembeni mwa uwanja wa Ndege wa Zanzibar jana majira ya saa tano asubuhi iliponusurika kuingia porini baada yakupasuka tairi la kushoto wakati ikitua uwanjani hapo, na kuzua hofu kwa abiria waliokuwa ndani ya ndege hiyo, ambayo haikuweza kufahamika mara moja ilikuwa ikitua kutokea wapi. Katika ajali hiyo abiria wote walitoka salama na kuondolewa eneo hilo na gari la kubebea wagonjwa. 
 Gari la zimamoto likiwa pembeni ya ndege hiyo kujiandaa na dharula ambayo ingeweza kutokea uwanjani hapo...
 Gari la wagonjwa likiondoka na abiria waliokuwamo katika ndege hiyo.
Mafundi wakijitahidi kurekebisha hitilafu hiyo .......
 
credits: Sufiani Mafoto blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top