Dk.
Yasinta Shobola akimchukuwa vipimo, Mbunge wa Mfindi Kusini(CCM),
Mendrad Kigola wakati wa zoezi la kupima afya kwa wabunge
lililoendeshwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Viwanja vya
ukumbi wa Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge
wa Kilwa Kusini (CUF), Said Bungala (kulia) akipima macho wakati wa
zoezi la kupima afya kwa wabunge lililoendeshwa na Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii (NSSF) katika Viwanja vya ukumbi wa Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge wa Mufindi Kusini (CCM), Mendrad Kigola akipima
macho wakati wa zoezi la kupima afya kwa wabunge lililoendeshwa na
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Viwanja vya ukumbi wa Bungeni
Mjini Dodoma.
Post a Comment