RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,na ujumbe aliofuatana nao wakiwa
katika picha ya pamoja katika Makumbusho ya Kihistoria ya Dr.Sun Yat-sen’s yaliyopo Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbi la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana.
Baadhi ya Wananchi wa Mitaa mbali mbali katika mji wa Nanjing hufika kutembelea sehemu ya Makumbusho ya kihistoria pamoja na Watalii kutoka nje ya mji huo,kuangalia mandhari yakupendeza na kupanda mlima wa kihistoria wa Dr,Sua Yat-sen’s,katika Jimbo la Jiangsu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, na Ujumbe wake wakiteremka mlima wakati walipotembelea Makumbusho ya Kihistoria ya Dr.Sun Yat-sen’s yaliyopo juu ya Mlima Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbo la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana Waongoza Wahusika wa
FAya Dr.Sun Yat-sen’walipofika na ujumbe wake kupata historia ya
makumbusho hayo huko Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbi la Jiangsu
nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana.Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.
Post a Comment