Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

REDD'S MISS TANGA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL LEO...ILIKUWA DAH!


IMEWEKWA JUNI 19, 2013 SAA 6:30 MCHANA
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) tawi la Tanga, Andrew Mushi akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanga 2013 linalofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati walimbwende hao walipotembelea kiwanda hicho asubuhi ya leo. TBL inadhamini shindano hilo kupitia kinywaji chake cha Redd's.

Warembo wakiwa kwenye kijiko cha kupangia masanduku ya Bia cha TBL

Meneja Ghala la TBL, Edwin Wilfred akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya DATK Entertainment, waandaaji wa Miss Tanga 2013, Asha Kigundula kushoto. Nyuma ni mume wake, Majjid Ngota  

Andrew Wilfred akizungumza na warembo

Meneja Mauzo wa TBL Tanga, Bahati Mbise akizungumza na warembo

Warembo wakidadisi mambo mbalimbali kwa Ofisa Usambazaji wa TBL Tanga, Rose Mukhtari CREDITS BIN ZUBEIRY
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top