Huyu ni miongoni mwa wapiga nondo katika mkoa wa
IRINGA akipokea kichapo kikali huku akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kituo
cha polisi, jamaa huyu anayefahamika kwa jina la MASTER, Amekamatwa mara tuu
baada ya mwenzake kukamatwa leo hii asubuhi akidaiwa naye kuhusika na uharifu
huo. hii imetokea mara tuu baada ya matukio ya namna hiyo kulipotiwa mara kwa
mara siku za karibuni
Baadhi ya wananchi mkoani IRINGA wakiwa na hasira na kutembeza kichapo kwa muharifu huyo kwakua wamechoshwa na matukio hayo yaliyokisiri sana mkoani Iringa
Mtuhumiwa akiwa katika hali ngumu maana wananchi wana hasira sana na watu wa namna hiyo kuwafanyia unyama kwa kuwapiga nondo na kuwapora mali zao
Wananchi wakiwa hawaogopi askari na wakiendelea
kumpa kichapo mharifu huyo uku safari ya kuelekea kituoni
ikiendelea
Watu wakiwa wengi kusaka na kuwakabidhi watuhumiwa hao mikononi mwa polisi
Wananchi wakishangaa kilichojili leo mjini Iringa
CREDITS: MBONDELEWIS
Post a Comment