Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha Tuzo ya heshima aliyopewa Rais Jakaya
Kikwete na Mtandao wa wabunge wa mabunge wa Afrika wa kupambana na
rushwa APNAC ili kutambua mchango wake katika kupambana na rushwa.
Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye semina na SPNAC iliyofunguliwa na
Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Afrian Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013.
Kushoto ni Spika wa Bunge Anne Makinda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge Anne Makinda
(katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Gerge
Mkuchika baada ya kufungua semina ya Mtandao wa wabunge wa mabunge wa
Afrika wa kupambana na rushwa APNAC iliyofunguliwa na Waziri Mkuu
kwenye ukumbi wa Afrian Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013. Kushoto ni
Spika wa Bunge Anne Makinda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala
Bora, George Mkuchika baada ya kufungua semiana ya Mtandao wa Wabunge wa
Afrika waanaopambana na Rushwa APNAC kwenye ukumbi wa Afrian Dream
mjini Dodoma Juni 14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Kiongozi, Fakih Jundu
(kakatikati) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa baada ya
kufungua semiana ya Mtandao wa Wabunge wa Afrika waanaopambana na
Rushwa APNAC kwenye ukumbi wa Afrian Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Habari , Vijana
na Michezo, Amos Makala kwenye viwanja vya Hoteli ya African Dream mjini
Dodoma Juni 14, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment